
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili
kutoa heshima zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta
ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri
katika wizara mbalimbali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha
maomboleza alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata
kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu
baada ya akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu
Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge
na waziri katika wizara mbalimbali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na
kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake
juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni
nyumbani kwa marehemu Makweta Bunju.

Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake
za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya
kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho
na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki
kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya akitoa heshima
zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla
ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali

Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho
na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki
kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali

Waziri William Lukuvi akitoa heshima zake za mwisho na
kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake
juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula akitoa
heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta
ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika
wizara mbalimbali

Mke wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu
Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge
na waziri katika wizara mbalimbali.Picha na IKULU




